21 Juni 2025 - 14:31
Mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Msihadaike, hali ya "Israeli" ni mbaya zaidi kuliko watu wanavyodhani

"Israeli" haikuwa tayari na majibu ya Iran.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Douglas McGregor, Mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani amesema bayana kwamba: "Msihadaike, hali ya "Israeli" ni mbaya zaidi kuliko watu wanavyodhani. Takriban theluthi moja ya Tel Aviv imeharibiwa au kuangamizwa".

Kuhusu vituo vyao vya kijeshi, niliambiwa kuwa ndege nyingi za Kiyahudi zilihamishiwa kwenye kisiwa cha Cyprus ili kuepuka kushambuliwa.

"Israeli" haikuwa tayari na majibu ya Iran.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha